Song information On this page you can read the lyrics of the song Ex Boyfriend , by - Rayvanny. Song from the album Flowers, in the genre СоулRelease date: 07.02.2020
Record label: WCB WASAFI
Song language: Swahili
Song information On this page you can read the lyrics of the song Ex Boyfriend , by - Rayvanny. Song from the album Flowers, in the genre СоулEx Boyfriend |
| Leo nakula kwa macho, nguvu ya kusema sina |
| Maneno ya mipasho na jeuri zimeshazima |
| Nilishafuta namba zako |
| Nikachoma picha zako |
| Sikujali ulivyoliaa |
| Mbele ya mashoga zako |
| Nikasema uende zako |
| Nguo nikakutupiaaa |
| Na zaidi, uliuguza vidonda |
| Kwa vipigo, manyanyaso kila siku |
| Kwa mawazo ukakonda |
| Niko bize kucheat, nafungua zipu |
| Ulinibembeleza, nikakubeza |
| Unanuka na nikakutelekeza |
| Macho makengeza, miguu ya pwesa |
| Kuwa nawe nikamesa niliteleza |
| Leo unapendeza, wamekutengeneza |
| Wanaume wenye mali, wenye fedha |
| Sasa unajiweza, siweza kujikweza |
| Najutia nafasi kuipoteza |
| Leo aibu yangu |
| Ex Boyfriend |
| Ex Boyfriend |
| Ex Boyfriend |
| Siitwi tena honey, baby |
| Jina langu limekuwa |
| Ex Boyfriend |
| Ex Boyfriend |
| Ex Boyfriend |
| Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua |
| Ohhh |
| Nawaza nilifeli wapi, kusema sikutaki |
| Sura ya baba na kitambi cha makasi |
| Sasa una mtanashati bitozi tena smati |
| Mtu wa gyme tena ana six park |
| Me nipo juu ya bati, sina mikakati |
| Geto mwendo chai na chapati |
| Nous ushahama mburahati |
| Una nyumba masaki |
| Soirée Unachoma Nyama Kila Siku |
| Ushanipiga mikuli aah |
| Insta mi sifurukuti aah |
| Mambo ya gauni suti aah |
| Mkifanya photoshoot aah |
| Mapenzi hayana komando |
| Mwenzako inaniuma roho |
| Natamani nikwite njoo |
| Turudi kama bifooo |
| Kumbe shepu ilijificha kwenye dera |
| Hizo skini jinsi mama zinakera |
| Utaniletea kadi kwenye machela |
| Siku akikuvalisha shera |
| Na Ulinibembeleza, nikakubeza |
| Unanuka na nikakutelekeza |
| Macho makengeza, miguu ya pwesa |
| Kuwa nawe nikamesa niliteleza |
| Leo unapendeza, wamekutengeneza |
| Wanaume wenye mali, wenye fedha |
| Sasa unajiweza, siweza kujikweza |
| Najutia nafasi kuipoteza |
| Leo aibu yangu |
| Ex petit ami |
| Ex petit ami |
| Ex petit ami |
| Siitwi tena miel, bébé |
| Jina langu limekuwa |
| Ex petit ami |
| Ex petit ami |
| Ex petit ami |
| Sikujua kumbe tabu peke yangu, naugua |
| Name | Year |
|---|---|
| Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Naogopa | 2020 |
| Party | 2021 |
| Tekenya Remix | 2020 |
| Chuchumaa | 2019 |
| Number One ft. Zuchu | 2020 |
| Come | 2021 |
| Rara | 2021 |
| One Two | 2021 |
| Teamo ft. Messias Maricoa | 2020 |
| I Miss You ft. Zuchu | 2022 |
| Jollof On The Jet ft. Rema, Rayvanny | 2020 |
| Natafuta Kiki | 2016 |
| Unaibiwa | 2017 |
| Mama La Mama ft. Mr Blue | 2020 |
| Chombo | 2018 |
| Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
| Baila | 2021 |
| Ngongingo | 2020 |
| Happy Birthday | 2021 |