Song information On this page you can find the lyrics of the song Amaboko, artist - Rayvanny.
Date of issue: 25.06.2020
Song language: Swahili
Amaboko |
Mwaga Maji Tucheze Kama Kamabale |
Leo Ni Vannyboy Yupo Na Mtoto Wa Tandale |
Aiiiiiii! |
Amaboko |
Eeeeeeeh Amaboko (Iiiiiiiii!!) |
Amagulu |
Eeeeeeh Amagulu (Kiruuuu!!) |
Amabokooo!!! |
Eeeeeh Amaboko |
Amagulu |
Eeeeeeh Amagulu |
Aah Gbeseee! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto! |
Watoto Wa Bibi |
Wanacheza Kote Mpaka Kwenye Matope |
Wanavua Wigi |
Kama Wamegombana Na Ebitoke! |
Fanya Kama Unadukua (Twende Sasa!) |
Unanengua (Twende Sasa!) |
Unapika Na Pakua (Twende Sasa!) |
Aiii Chukua (Twende Sasa!) |
Nasema Popooo Popo (Tunakesha Popo!) |
Leta Chupa Kwa Chupa Na Moshi Tulewe (Tunakesha Popo!) |
Nasema Popooo PopoOooh (Tunakesha Popo!) |
Shika Pesa Tusepe |
Silali Mwenyewe (Tunakesha Popo!) |
Chiiiii! |
Anasasambua (Kalewa!) |
Anakibinua (Kalewa Lewa!) |
Anajichetua (Kalewa!) |
Aiyayayayayaaa (Kalewa Lewa!) |
Amaboko |
Eeeeeeeh Amaboko (Iiiiiiiii!!) |
Amagulu |
Eeeeeeh Amagulu (Kiruuuu!!) |
Amabokooo!!! |
Eeeeeh Amaboko |
Amagulu |
Eeeeeeh Amagulu |
Aah Gbeseee! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto! |
Asa Baby Show |
Shooow Onyesha Alichokupa Mama |
Babe Ko (Komesha Usijali Lawama) |
Kana Sipidi Didi Diiiiii! |
Mwendo 4g Jijiii Jiii! |
Katoto Gwijigwiji Jiiii! |
Kwenye Kujigijigi Jiii! |
Ah! Venye Nyomi Kijiji |
Manyoni Itigigiiiii |
Twende Mpaka Morning Ikibidiiii |
Nizame Shimoni Kimbijiii |
Eeeeeeh Katoto Kana Papara (Paraaa!) |
Kupigwa Nyembe Kipara (Para!) |
Namvuta Kama Sigara (Raaaaa Raraaa!) |
Nasema Popo Popooo (Tunakesha Popo!) |
Tembeza Cha Ukucha Na Monde Tulewe (Tunakesha Popooo!) |
Jamani Popoo Popo (Tunakesha Popooo!) |
Kama Akigoma Vuta Usilale Mwenyewe (Tunakesha Popoooo!) |
Ayaya Yayaaaa (Kimempandaa!!) |
Oooh Kidaruso (Kimempandaa!!) |
Kaisha Leo (Kimempandaa!!) |
Namsomba Kama Fuso (Kimempandaa!) |
Umo Umooo! |
Amaboko |
Eeeeeeeh Amaboko (Iiiiiiiii!!) |
Amagulu |
Eeeeeeh Amagulu (Kiruuuu!!) |
Amabokooo!!! |
Eeeeeh Amaboko |
Amagulu |
Eeeeeeh Amagulu |
Aah Gbeseee! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto To! |
Tooto Litoto! |
Mwaga Maji Tucheze Kama Kamabale |
Leo ni Vannyboy Yupo Na Mtoto Wa Tandale |
Aiiiiiiih! |
Mwaga Maji Tucheze Kama Kamabale (Umo Umooo!!) |
Leo ni Vannyboy Yupo Na Mtoto Wa Tandale |
Sa Chezesha Kileso! (Kileso!) |
Kileso Kileso (Kileso!) |
Zungusha Kileso (Kileso!) |
Eeeh Kileso Kileso!!! |
Kama Unakibana Kwa Kwapa (Kileso!) |
Kilete Kwa Hapa (Kileso!) |
Kama Unarusha Unadaka (Kileso!) |
Mmmh Swadakta (Kileso!) |