Song information On this page you can find the lyrics of the song Tetema, artist - Rayvanny.
Date of issue: 27.01.2019
Song language: Swahili
Tetema |
Tetema yani kama umepigwa shoti |
Tetema nipe migandisho ya roboti |
Tetema ukutani hadi kwenye kochi |
Tetema kwenye giza mama shika tochi |
Katoka kamenoga (oh mama) |
Nikape ndizi za Bukoba (oh mama) |
Nikapandisha bodaboda (oh mama) |
Kakichoka kuchuma mboga (oh mama) |
Aii mama shigidi |
Nakufa hoi wikidi |
Aii mama shigidi |
Konki, fire, moto, liquid |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema) |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Shuka chini tetema (oh, mama tetema) |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema) |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Shuka chini tetema (oh, mama tetema) |
Tetema yani kama vile generator |
Tetema kama mwizi kakupiga ngeta |
Tetema mwendo wa kutunga kupepeta |
Tetema chini nikupuliza tarumbeta |
Asa whozi dozi cheza shogoloza |
Kufa chali kama mende |
Maria Roza poza tungi limekoza |
Twende nikupige nyembe |
You make my mind go low, go low, go low |
Ukinuna tu mie doro, doro, doro (washa) |
Sa' nipe za digi digi (washa) |
Miuno ya Gigi Gigi (washa) |
Funga kibindo mgwiji, gwiji (washa) |
Nikunyonge ka zigi zigi |
Teeete… |
Oh, mama tetema |
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema) |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Shuka chini tetema (oh, mama tetema) |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Tipwatipwa tetema (oh, mama tetema) |
Aya twende tetema (oh, mama tetema) |
Shuka chini tetema (oh, mama tetema) |
Ayo Lizer…(chiii) |
Kichaa kime-kime, kimempanda |
Amewehuka (Kime-kimempanda) |
Kapandisha mizuka (kime-kimempanda) |
Ana ruka ruka (kime-kimempanda, mama) |
Kichaa kime-kime, kimempanda |
Kapanda juu ya meza (kime-kimempanda) |
Eti anavua shati (kime-kimempanda) |
Kalewa anacheza (kime-kimempanda) |
Yani varangati |
Wasafi |