Lyrics Shulala - Harmonize, Korede Bello

Shulala - Harmonize, Korede Bello
Song information On this page you can find the lyrics of the song Shulala, artist - Harmonize.
Date of issue: 26.11.2019
Song language: Swahili

Shulala

Kwanza upendo Baraka
Nikuchunge Nitajisumbua
We jichunge tu mwenyewe
Mmh!
Nasikufunzwa taraka
Mangapi ulinikosea, ila bado nipo nawe
Mmh!
Ata waniite zoba waseme umeniroga
Kukuacha ndio siwezi nimeridhia
Ila, she is my number moja, wengine watangoja
Ah! niongezee mapenzi, niizidi kolea
Pale nnapokuona, Shulalala Shula
Yarabi moyo, Shulalala Shulaa
Eh, Pale nnapo kusikia, Shulala Shula
Shula wangu, Shulalalashula
Mavin
Wololo lolo yeah, Korede Bello
Want you to know that I’ll will be there (I'll will be there)
Girl I will be there till the end oh!
So, don’t let baby
Don’t let nobody come interfere (come interfere)
Let them say what they want to say, sando
Shuba bochu beyanju (yelele)
Kuumanyeu (yelele)
Kojubarobuu baamaje koyau (yelele)
Girl I promise you forever (ever)
Never leave you never (ever)
Where you go (I will go I’ll goooo)
Pale napomuona-aa Eh! Shulalalaa shula
Jamini moyo wangu, Shalala-la-la Shula
Pale ninapo musikia, Shulala Shula
Yarabi moyo wangu, Shulala-laa shula
(Yarabi moyo)
Aaah!
Unizalie ka-cute ka-cute Katifah Dagote
Nikuvalishe na misuit misuit, upendeze tutoke
Tukomeshe wenye chuki mamluki lakusema wakose
Tulisakate uzuki ma uzuki na wavimbe wapasuke
Wewe Hodari mtunza siri zangu hata nikiwa sina
Wanivumilia, na kuamini nitapata
Tafadhali nilindie roho yangu cha kukupa sinaa
Tena nakuapia Haki ya Mungu sitakuacha
Na Kama ukinipenda sana (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nitaringa na wewe nitaringa
Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa na wewe
Nitaringa Baby Ooh (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitariiiih! (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
Nitaringa nawee (nitaringa nitaringa na wewe nitaringa)
(Wasafi Records)
Oooh Yeah (ringa ringa eeh)
Nitaringa ringa eeh ringa ringa eeh
Aah aah me na wee
Eeh Nitaringa ringa eeh
Heheh Harmo Love!

Share lyrics:

Write what you think about the lyrics!

Other songs of the artist:

NameYear
Romantic 2016
Uno 2019
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz 2019
All Is in Order ft. Rema, Korede Bello, Don Jazzy 2019
Cold Outside 2014
Teacher 2021
Sote 2018
Oh Baybe (Hermosa) 2017
Pain ft. Yemi Alade 2020
Your Style ft. Korede Bello, IB JOSH 2017
One and Only 2016
If You Smile 2019
Kwa Ngwaru ft. Diamond Platnumz 2018
Mwaka Wangu 2022
Godwin 2015
Oh Baybe 2018
Complete (Naked) 2024
Yoruba Girl 2024
Hey Beautiful (Interlude) 2024
Magufuli 2019

Artist lyrics: Harmonize
Artist lyrics: Korede Bello