| Mmmmh |
| I wish ningemwona Magufuli |
| Nipige magoti |
| Nimpongeze hadharani |
| Yaani Rais wa muungano wa Jamhuri |
| Mchapakazi hachoki |
| Anaye pinga nani? |
| Mmmh, |
| Ametuvusha vikwazo |
| Wewe nami ona nchi anavyoijenga |
| Flyover sa tunazo, daraja kigamboni |
| Airport imesha jengwa |
| Acha nikupongeze Kwa Air Tanzania (Ielewe) |
| Zidi baba tuongeze Airbus Bombardier (Ielewe) |
| Standard gauge tuteleze Kusafiri unasinzia (Ielewe) |
| Acheni tu niwaeleze Magufuli papa nia (Ielewe) |
| Oooh dady |
| Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru) |
| Wasopenda wabane choo (Kwangwaru) |
| Magu muacheni (Kwangwaru) |
| Oooh daddy |
| Asa Cheza nikuone (Kwangwaru) |
| Jembe toka chato (Kwangwaru) |
| Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru) |
| Aga, mpole mtu wa dini |
| Hajachoka tunashukuru |
| Amesamehe mara sabini |
| Papi Kocha sa yuko huru |
| Wa-Tanzania tupewe nini? |
| Vilokufa yeye kavifufua |
| Karudisha nidhamu serekalini |
| Ukileta njanja anatumbua EEh! |
| Sekta ya madini |
| Umeme maji kero zimepungua (Asa wee) |
| Elimu bure vijijini Watoto shule wanabukua (Asa wee) |
| Ifikapo elfu mbili na ishirini Kura yangu chukua (Asa wee) |
| Asa tufiche ya nini 'Magu' uongozi anaujua (Asa wee) |
| Dar es Salaam mwendo kasi Vituo vya afya kila kata (Ielewe) |
| Machinga tunachapa kazi Tena huru bila shaka (Ielewe) |
| Borigi utani ameongeza Uchumi uweze panda (Ielewe) |
| Serekali Dodoma inapendeza Tanzania ya viwanda (Ielewe) |
| Oooh daddy |
| Magufuli Cheza nikuone (Kwangwaru) |
| Wasopenda wabane choo (Kwangwaru) |
| Magu muacheni (Kwangwaru) |
| Oooh daddy |
| Asa cheza nikuone (Kwangwaru) |
| Jembe toka chato (Kwangwaru) |
| Magufuli ndo Rais wa wanyonge (Kwangwaru) |
| Asa wote wa-Tanzania |
| Tusimame imara (Imara imara) |
| Yaani wote Tanzania |
| Imara Tanzania tusonge mbele |
| John Pombe Magufuli |
| Simama imara (Imara imara) |
| Yaani wote tusonge mbele |
| Imara Tanzania tusonge mbele |
| Oooh mama Samia Suluhu |
| Basi simama imara (Imara imara) |
| Kwa pamoja tusonge mbele |
| Imara Tanzania tusonge mbele |
| Baba Kassim Majaliwa |
| Simama imara (Imara imara) |
| Kwa pamoja tusonge mbele |
| Imara Tanzania tusonge mbele |
| Wasafi Records |