| Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
| Nawaa… naaawaaa… naawaaa… I just think
|
| Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
| Nawaa… naaawaaa… naawaaa… I just think
|
| Nawaza pru mpaka maka Ruge amerudi tena
| I think pru until maka Ruge is back again
|
| Je kwa huu mziki wa sasa sijui nini angesema?!
| With this current music I do not know what he would say ?!
|
| Na nimejifunza binadamu kweli hawana jema
| And I have learned that human beings really are not good
|
| Yani mtoto unaemtunza ndo anakuombea ukilema
| That is, the child you are caring for is praying for you when you are disabled
|
| Nashangaa
| I wonder
|
| Nawaza Vanny na Elizabeth clip zao zikivuja
| I think Vanny and Elizabeth have their clip leaked
|
| Ndoa itaimarika eti au ndo ataifoja?!
| Will the marriage succeed or will it fail ?!
|
| Nawaza muchana, usiku jibu halifiki
| I think during the day, at night the answer does not come
|
| Wanaonitukana, tuna bifu au ilimradi kiki?!
| They insult me, are we mad or as long as we live ?!
|
| Nawaza kina Kimambi bwana wangekua wagawa ridhiki
| I think deep down Kimambi sir would grow up to be satisfied
|
| Hivi kweli ningejulikana si wangenizima nsisike
| Of course I would have known they would not have extinguished me
|
| Nlowaza leo nshawaza sana kina Kiba ugomvi kipi?!
| I think today I wonder what Kiba's quarrel is ?!
|
| Nikagundua ni ushamba na ujana wa kugombania mashabiki
| I realized it was farming and youthful fanaticism
|
| Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
| Nawaa… naaawaaa… naawaaa… I just think
|
| Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
| Nawaa… naaawaaa… naawaaa… I just think
|
| Oooh nawaza
| Oooh I think
|
| Huenda Steven Kanumba angelikuwepo hai
| Steven Kanumba may have been alive
|
| Nawaza movie zetu pia tungejidai
| I think our movies too we would have claimed
|
| Nawaazaa hivi kombe la dunia hatufikagi why?!
| I give birth to this world cup we do not reach why ?!
|
| Nawaza, tatizo ni team au uongozi haufai
| I think, the problem is the team or leadership is not right
|
| Mawazo mengine mtanange bora tuache yataleta ukakasi
| Some of the best ideas you can come up with are simple ideas
|
| Je angekuepo Muzee Nyange, Uncle Shamte angepata nafasi?!
| Would Muzee Nyange be there, Uncle Shamte would get a chance ?!
|
| Nawaza ka ngekua na Wema Sepetu hadi leo sijui ngekua nshafulia au zaidi
| I think I grew up with Wema Sepetu to this day I do not know if I grew up or not
|
| maendeleo
| development
|
| Ooh nawaza siku nikifa sijui wasafi itakufa
| Ooh I think the day I die I don't know clean will die
|
| Nawaza sijui maradhi ama ajali itanikuta
| I think I do not know if illness or accident will befall me
|
| Nawaza oh Mama Dangote nani chozi atamfuta
| I wonder oh Mama Dangote who will wipe away the tears
|
| Nawaza sijui nyimbo zangu watazikumbuka
| I guess I don’t know my songs they will remember
|
| Eeeh
| Eeeh
|
| Nlowaza leo nshawaza sana nnachoshindwa kuwa kipi
| I think today I am very confused about what I fail to be
|
| Nikagundua naepusha lawama maana najijua kwa kucheat
| I realized I was avoiding blame because I knew I was cheating
|
| Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu
| Nawaa… naaawaaa… naawaaa… I just think
|
| Nawaa… naaawaaa…naawaaa…nawaza tu | Nawaa… naaawaaa… naawaaa… I just think |