Song information On this page you can read the lyrics of the song Haunisumbui , by - Diamond Platnumz. Release date: 01.02.2022
Song language: Swahili
Song information On this page you can read the lyrics of the song Haunisumbui , by - Diamond Platnumz. Haunisumbui |
| Si Kokoko Si Kandambili |
| Yani Vyote Havikupendezi |
| Mwana Ngoko Usonawili |
| Tope Bin Uterezi |
| Utaishia Kututabiri Tubomoke |
| Inasonga Miezi |
| Mola Amesha Takabiri |
| Usijichoshe Halivunjiki Penzi |
| Ona! Umekosa Nuru |
| Umekosa Bahati Huna |
| Unaitwa Kunguru |
| Ukifika Wananuna |
| Ndondondo Mwana Chururu |
| Asie Buzi Wataka Chuna |
| Mengine Nisikufuru |
| Hhmm! Hazikukai Maskara |
| Wala Makeup Zinakushuka |
| Uso Umekuparara |
| Mwili Shockup Zimetenguka |
| Uso Sauti Ya Stara |
| Pakudeka Unawehuka |
| Jibwa Koko La Mbagala |
| Unabweka Na Kubwetuka Wala! |
| Wala Haunisumbui Wala |
| Wala Haunisumbui Wala |
| Wala Haunisumbui Wala |
| Wala Haunisumbui Wala |
| Na Izo Post Mara Kubebana |
| Mara Eti Mnabusu Mtamaliza Bando |
| Unaowatuma Kunitukana |
| Siogopi Mashushu |
| Mi Wala Michambo |
| Kutwa Kwa Mapage Feki |
| Kama Lokole Inahusu??? |
| Mkwe Akutaki Eti |
| Mwenzangu Pole Mbona Kuntu |
| Vimeseji Kujitumisha Kwa Ndugu Zangu Marufuku |
| Nyota Imekufubika |
| Usifosi Umaarufu |
| Upepo Wa Kisulisuli |
| Umekuchukua Na Nuksani |
| Tanga Lipulipuli |
| Wanakununua Kwa Mizani |
| Kwangu Pambe Shughuli |
| Najiashua Burudani |
| Nna Toto Zurizuri |
| Nimelitua Tuli Ndani Yiih Yiih Iih Iih |
| Umekosa Nuru |
| Umekosa Bahati Huna |
| Unaitwa Kunguru |
| Ukifika Wananuna |
| Ndondo Mwana Chururu |
| Asie Buzi Wataka Chuna |
| Mengine Nisikufuru |
| Usie Wa Shaba Wala Chuma |
| Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunikondeshi) |
| Wala Haunisumbui Wala (Mujipost Mainstagram) |
| Wala Haunisumbui Wala (Wala Hamunitetereshi) |
| Wala Haunisumbui Wala (Waalaah) |
| Name | Year |
|---|---|
| Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Shu! | 2023 |
| Kamata | 2021 |
| Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
| Jeje | 2020 |
| African Beauty ft. Omarion | 2018 |
| Gidi | 2022 |
| Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| Penzi ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Yo Pe ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| IYO ft. Focalistic | 2021 |
| Gimmie ft. Rema | 2021 |
| Inama ft. Fally Ipupa | 2019 |
| Love You Die ft. Patoranking | 2017 |
| Waah! ft. Koffi Olomide | 2020 |
| Katika ft. Diamond Platnumz | 2018 |
| Baba Lao | 2019 |
| Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
| Kidogo ft. P Square, P-Square | 2018 |
| Number One ft. Davido | 2018 |