Lyrics Kembo - Khadja Nin

Kembo - Khadja Nin
Song information On this page you can find the lyrics of the song Kembo, artist - Khadja Nin. Album song Ya..., in the genre Соул
Date of issue: 31.12.1999
Record label: Ark 21
Song language: Swahili

Kembo

Unaniaca unaenda tena
Nabaki apa mimi peke yangu
Watoto, watoto wanaliya
Usiende…
Kembo, kembo, kembo…
Watoto wanaliya… wewe
«napashwa»
Wandugu wanaliya…
Ni wewe
«napashwa»
Ata mama yako analiya
«napashwa»
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja… kembo
«usiende na sorrow
Tutangoja»
Usiende na sorrow
Tutangoja… kembo
Watoto wanaliya… hood !!!
«unapashwa»
Wandugu wanaliya… hood !!!
«unapashwa»
Ata mama yako analiya
«unapashwa»
Mimi bibi yako naliya
Usiende na sorrow
Nitangoja…
Kembo… kembo… kembo…

Share lyrics:

Write what you think about the lyrics!

Other songs of the artist:

NameYear
Sambolera Mayi Son 2020
Mama 1999
Damu Ya Salaam 1999
Embargo 1999
Sesiliya 1999
Afrika Obota 1999
Turasa 1999
Like An Angel 1999
Mzee Mandela 1999

Artist lyrics: Khadja Nin