Song information On this page you can find the lyrics of the song Damu Ya Salaam, artist - Khadja Nin. Album song Ya..., in the genre Соул
Date of issue: 31.12.1999
Record label: Ark 21
Song language: Swahili
Damu Ya Salaam(original) |
tangu iraki mpaka amerika |
wako karibu yakufunga vita |
mi mama mzazi nauliza |
ni nani ata linda watoto wetu |
bwana hussein anasema: |
«nataka salaam» |
mi si aminiye neno ile |
damu yaliyo mwangiwa |
ni ya wadogo na watoto tu mimi huyu nakosa njiya |
yakusikika kwa wakubwa |
kwa hakika tulijioneya |
vita ya kwanza ilizala fitina |
bwana hussein anasema: |
«nataka salaam» |
mi si aminiye neno ile |
damu yaliyo mwangiwa |
ni ya wadogo na watoto tu nakata matumaini |
ju kwa vile naona |
wakubwa hawajali macozi ya mutu mudogo analiya wake |
siraha ya amani ilikuta kwake |
mr.clinton anasema: |
«nataka salaam» |
mi si aminiye neno ile |
damu yaliyo mwangiwa |
ni ya wadogo na watoto tu mr.clinton anasema: |
«nataka salaam» |
mi si aminiye neno ile |
damu yaliyo mwangiwa |
ni ya wadogo na watoto tu |
(translation) |
from Iraq to America |
they are about to end the war |
I ask my mother |
who will protect our children |
Mr Hussein says: |
"Nataka salaam" |
I do not believe the word |
blood spilled |
it is for children and children only I miss this way |
audible to superiors |
we certainly saw for ourselves |
the first war sparked controversy |
Mr Hussein says: |
"Nataka salaam" |
I do not believe the word |
blood spilled |
it is for little ones and children only I despair |
ju as I see it |
the older ones do not care for the tears of the younger one |
the armor of peace found him |
mr.clinton says: |
"Nataka salaam" |
I do not believe the word |
blood spilled |
is for children and children only mr.clinton says: |
"Nataka salaam" |
I do not believe the word |
blood spilled |
it is for children and children only |