Lyrics Zam Zam - Kenzo

Zam Zam - Kenzo
Song information On this page you can find the lyrics of the song Zam Zam, artist - Kenzo
Date of issue: 28.10.2021
Song language: Swahili

Zam Zam

Ogopa DJS\nMatata hii\nMaisha ya upekee Jamani mi sitaki\nNimeaamua kuwacha Maisha ya u-bachelor\nNiko katika Hali ya kutafuta\nMsichana mmoja Mrembo ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nnimesema na wengi nimejitupa na wengi\nnimehangaika sana nikitafuta mchumba\nwa kunitunza anizalie mapacha\nninapotokea kazini kuna wa kusema nami\nnikikasirika anifurahisha\nmsichana mmoja mrembo eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nnimeamua Nitamtafuta Sitachoka\nMpaka mi nimpate\nnimeamua Nitamtafuta Sitachoka\nMpaka mi nimpate\nnimeamua\nNitamtafuta\nSitachoka\nMpaka mi nimpate\nnimeamua\nNitamtafuta\nSitachoka\nMpaka mi nimpate\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe ni Zam zam\nkama wewe ni eeh\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe\nkama wewe

Share lyrics:

Write what you think about the lyrics!

Other songs of the artist:

NameYear
Slide 2021
Butterflies 2022
Mama Milka 2021