Lyrics Mama Milka - Kenzo

Mama Milka - Kenzo
Song information On this page you can find the lyrics of the song Mama Milka, artist - Kenzo
Date of issue: 28.10.2021
Song language: Swahili

Mama Milka

ntro\nMatata hii\nMama milka, mbona unanitesa\nKenzo\nTumekuwa mabeste\nTangu utotoni\nTumesoma pamoja\nTangu utotoni\nTumecheza pamoja\nMichezo ya utotoni\nSasa ni mi mtu mzima\nNatafuta mchumba\nMama, napenda mtoto wako\nNaomba, nikumbalie nijipange naye\nMama, napenda mtoto wako\nNaomba, nikumbalie nijipange naye\nJamani unasema\nWataka mwenye suti\nAwe na degree\nToka university\nSio wa kusakanya\nHajiwezi mwenyewe\nNitafanya chochote\nWee sema tu\nNitakwenda kokote\nWee sema tu\nNitakupa chochote\nWee sema tu\nMama, napenda mtoto wako\nNaomba, nikumbalie nijipange naye\nNaomba, nikumbalie nijipange naye\n(huyo)mimi na yee\nTunafaana siku mingi\nTumejuana si utani\nNakuomba ooh\n(huyo)mimi na yee\nTunafaana siku mingi\nTumejuana si utani\nNakuomba ooh\n(huyo)mimi na yee\nTunafaana siku mingi\nTumejuana si utani\nNakuomba ooh\n(huyo)mimi na yee\nTunafaana siku mingi\nTumejuana si utani\nNakuomba ooh\nChorus till fade\nMama, napenda mtoto wako\nNaomba, nikumbalie nijipange naye\nMama, napenda mtoto wako\nNaomba, nikumbalie nijipange naye

Share lyrics:

Write what you think about the lyrics!

Other songs of the artist:

NameYear
Slide 2021
Zam Zam 2021
Butterflies 2022