| Na ye ni mwanadamu, Na dunia tunapita |
| Kama kupata kwa zamu, Oooh Zamu, Yangu itafikaa |
| Siwezi kana damu, Kesho wataja nizika |
| Ila ningependa afahamu, Haya mateso aloniipa |
| Mmmh. Tena mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeeh |
| Kupata foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh |
| Oooh Oooh Ooooh |
| Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya |
| Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameihama kaya |
| Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa |
| Atarudii, Atarudi mama |
| Atarudi, Anawapenda sana |
| Atarudi, Atawaletea zawadi |
| Atarudi, Eeeeh Atarudi mama |
| Atarudi, Atarudi mama |
| Atarudi, Anawapenda sana |
| Atarudi, Atawaletea Zawadi |
| Atarudiiiiih |
| Siwezi sema sijui tatizo, Hali yangu duni imefanya ukanikimbia |
| Ni vyema ungefanya maigizo, Mara kumi usingenizalia |
| Mmmh, Ingali Mapenzi pekee, Ningesema ni changamoto nijifunzee |
| Ameniacha mpwekeee, Na watoto niwatunze |
| Eeeh, Ila siwezi laumu, Aaaaaaah, Wenda yupo sawa, Aaaah |
| Kipato changu kigumu, Aaaaah, Kutwa Bumunda na Kahawa, Aaaah |
| Eeeh. Ila mwambieni aloninyima mimi, Ndio kampa yeyee eeh |
| Kupata Foleni, Nasubiri yangu mimi, Hata icheleweeeeh |
| Oooh Oooh Ooooh |
| Sina furaha naigiza ilimradii, Watoto wasijihisi vibaya |
| Huyu mdogo anauliza Eti Daddy, Mama ameiaga kaya |
| Cha kujibu sina nabaki tu kusemaaaaa |
| Atarudii, Atarudi mama |
| Atarudi, Anawapenda sana |
| Atarudi, Atawaletea zawadi |
| Atarudi, Eeeeh Atarudi mama |
| Atarudi, Atarudi mama |
| Atarudi, Anawapenda sana |
| Atarudi, Atawaletea Zawadi |
| Atarudiiiiih |
| Ohh My God It’s Beta Sound |