Song information On this page you can find the lyrics of the song Vibaya, artist - Harmonize.
Date of issue: 20.04.2021
Song language: Swahili
Vibaya |
Alisema mapenzi vita |
Mi na yeye tuungane kuwateketeza maadui |
Eeh maadui |
Badala ya miezi kupita aah |
Vikombe lazima vigongane |
Na sio kwamba hayajui, eeh hayajui |
Pigo za kusema vya jndani mi sinaga hizo |
Ama kumtafuta mchawi ni nani ni kuongeza tatizo |
Tulia hapa tutakuwa wa ndani hadi paradiso |
Na tukatangaza kweupe mambo ya hadharani |
Na tattoo ndo hizo, oh oh ohhh |
Sitaki kuamini kwamba |
Lile kapu la mabaya yangu |
Halina hata machache mema oh mema |
Nitakuwa mshamba |
Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu |
Ili nionekane mwema |
Japo mapenzi yanaumiza |
I wish tusisemane (Vibaya vibaya) |
Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya) |
Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya) |
Wanachotaka maneno ili kesho |
Watuchambe (Vibaya vibaya) |
Ooaa aah, oooh aaah |
Oooh aah, ooh aah… ooooh mmmh |
Nitunzie siri zangu |
Nami nitunze zako za miaka rudi nenda |
Kuna leo na kesho mmh mmmh mmmh |
Hata maadui zangu walikuwaga maadui zako |
Hawawezi kukupenda |
Wanakuvuta uwe kichekesho |
Mmmmh mmmh mmmh |
Maana hata ukisambaza |
Picha zangu za aibu ni sawa |
Hata hunikomoi |
Na hata utupu wako ukiutandaza |
Kwa watu wangu wa karibu sio doa, hujengi hubomoi |
Mama kuna kamchezo |
Mtunze mtoto wako |
Na watu wenye majungu (Majungu) |
Nilikubali kuviacha vya dezo |
Sababu ya mapenzi yako |
Nikaachana na mzungu (Mzungu) |
Maneno yao utadhani wanakutetea |
Kumbe tudhalilishane wanachongojea |
Usiwape faida wambea |
Na ni kama kawaida nakuombea |
Sitaki kuamini kwamba |
Lile kapu la mabaya yangu |
Halina hata machache mema oh mema |
Nitakuwa mshamba |
Nikiyasema yote mabaya ya mwenzangu |
Ili nionekane mwema |
Japo mapenzi yanaumiza |
I wish tusisemane (Vibaya vibaya) |
Ili kesho tusizikane (Vibaya vibaya) |
Usiwasikilize wapambe (Vibaya vibaya) |
Wanachotaka maneno ili kesho |
Watuchambe (Vibaya vibaya) |
Ooaa aah, oooh aaah |
Oooh aah, ooh aah… ooooh |
Konde Music Worldwide |
B Boy thank you for the sound |
Sound… Sound |