Song information On this page you can read the lyrics of the song Utanipenda , by - Diamond Platnumz. Release date: 01.06.2017
Song language: Swahili
Song information On this page you can read the lyrics of the song Utanipenda , by - Diamond Platnumz. Utanipenda |
| Tanta lala laaa |
| Ooh La la la la laaaa |
| Mmmmh |
| Ooh Ghafla visenti sina nimerudi Tandale |
| Nimeshindwa kulipa BIMA nimeuza Madale |
| Radio nyimbo wamezima Tv ndio hataree |
| Umeneja umebaki jina |
| Hanitaki hata Tale |
| Oooh wale shabiki zangu |
| Walionisifu kwa maneno matamu |
| Leo maadui zangu |
| Ni mitusi tu kwa instagram |
| Kimwanaa si dada angu |
| Eti nae hanifahamu |
| Hata Harmonize nikimpigia |
| Ananifokea kama Sallam |
| Na magazeti ya nyumbani kwa kukuza habari si unajuagaa |
| Utasikia Tafalani eti Mondi kwa Zari amemwagwa |
| Navyo nilivyo mnyonge tabia ya kuwajibu sinagaa |
| Kama naiona michambo ya madem wa zamani nlio wapitiaga |
| Ooh nayosema yana maana |
| Sababu hakuna anaejua kesho |
| Anaepanga ni Rabana |
| Ila ameificha ni confidential |
| Ukisali omba sanaa |
| Mumeo nisije kuwa kichekesho |
| Maana rafiki wa jana |
| Aaah |
| Ndio adui mkubwa wa kesho |
| La la la la la laaaaa |
| Au je utanipenda gaa? |
| La la la la laaa |
| Au nawe utanimwagaa? |
| La la la la laaaa |
| Ati utanipenda gaa ooh |
| Ooooh |
| Ooooooooh. |
| Bado naiwaza sana |
| Zile tunzo mashauzi airport |
| Je itapofika tamati |
| Utadiriki hata japo kunipost |
| Pindi show zimekwamaa |
| Na nikipata sijahis ni mikosi |
| Oooh jahazi limezama |
| Mola ninusulu baba |
| Kama namuona mwanangu |
| Roho yangu |
| Tiffa Dangote |
| Anakwenda na mamaangu |
| Kwa Jakaya Kikwete wanafukuzwa watoke |
| Usilie Sandra wangu |
| Mboni yangu |
| Jikaze usichoke |
| Huenda kesho zamu yangu |
| Nitavuma tena mambo yanyooke |
| Eeeey |
| Na magazeti ya nyumbani |
| Kwa kukuza habari si unajuagaa |
| Utasikia tafalani eti Mondi kwa Zari amemwaga |
| Oh yeh yeh yeh |
| Navyo nilivyo mnyonge |
| Tabia ya kuwajibu sinaga |
| Kama naiona michambo ya madem wa zamani |
| Yani He he heeeeee |
| La la la la laaaaaa (eeeh) |
| (Ola lala la laaaalaa) |
| La la la la laaa |
| (Ooh ola la la laaaa) |
| La la la la la alaaaa |
| Eeeh |
| Ola la la lilaa ooh |
| I say. |
| Kama namuona mwanangu |
| Roho yangu |
| Tiffa dangote |
| Ana kwenda na mama angu |
| Kwa mkubwa Fella anafukuzwa watoke |
| Usilie sandra wangu |
| Mboni yangu |
| Jikaze usichoke |
| Huenda kesho zamu yangu |
| Nitavuma tena |
| Mambo yanyooke (he he heee) |
| Eiiii |
| Ola lala lilaa |
| Oooh baby |
| Tudd Thomas |
| Oooooh |
| Nayosema yana maana |
| Sababu hakuna anaejua kesho |
| Anaepanga ni Rabana |
| Ila ameificha ni confidential |
| Ukisali omba sana |
| Mumeo nisije kuwa kichekesho |
| Maana rafiki wa jana |
| Ndio adui mkubwa wa kesho |
| WASAFIIII. |
| Name | Year |
|---|---|
| Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Shu! | 2023 |
| Kamata | 2021 |
| Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
| Jeje | 2020 |
| African Beauty ft. Omarion | 2018 |
| Gidi | 2022 |
| Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| Penzi ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Yo Pe ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| IYO ft. Focalistic | 2021 |
| Gimmie ft. Rema | 2021 |
| Inama ft. Fally Ipupa | 2019 |
| Love You Die ft. Patoranking | 2017 |
| Waah! ft. Koffi Olomide | 2020 |
| Katika ft. Diamond Platnumz | 2018 |
| Haunisumbui | 2022 |
| Baba Lao | 2019 |
| Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
| Kidogo ft. P Square, P-Square | 2018 |