Song information On this page you can read the lyrics of the song Simba , by - Diamond Platnumz. Release date: 19.08.2020
Song language: Swahili
Song information On this page you can read the lyrics of the song Simba , by - Diamond Platnumz. Simba |
| Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! |
| Kumekucha Jama |
| Kishafanya Yake Munyama |
| Oooh! Kumekucha Jama |
| Kishafanya Yaa! |
| Agaah! Waambie Simba |
| Simba Kiboko Yao |
| Waambie Wekundu Wa Msimbazi |
| Simba Kiboko Yao |
| Oooh! Taifa Kubwa |
| Simba Kiboko Yao |
| Oooh! This Is SImba |
| Simba Kiboko Yao |
| Ona Manara Anacheza |
| Anashangilia Ushindi Umekuja! |
| Mo Anarukaruka |
| Anashangilia Ushindi Umekuja! |
| Yule Dada Anakata |
| Anashangilia Ushindi Umekuja! |
| Agaah! Wahuni Wanarukaruka |
| Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
| Na Tutamfunga Yoyote Atakae Kaa Mbele |
| Si Wanawashwa Tutawakuna Upele |
| Chenga Na Pasi Ndo Zetu Kama Mbele |
| Oh Magoli Mashuti Kama Pele |
| Wataweza Wapi Jamaa (Wakwende Zao!) |
| Kushindana Na Munyama (Wakwende Zao!) |
| Oooh! Wataweza Wapi Jamaa |
| Kushindana Na Musimbazi |
| Agaah! Nasema Simba |
| Simba Kiboko Yao |
| Waambie Wekundu Wa Msimbazi |
| Simba Kiboko Yao |
| Haina Mpinzani |
| Simba Kiboko Yao |
| Oooh! Mabingwa Wa Nchi |
| Simba Kiboko Yao |
| Ah Wanachama Wanacheza |
| Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
| Mashabiki Wanarukaruka |
| Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
| Ooh! Nguvu Moja |
| Anashangilia Ushindi Umekuja! |
| Hadi Wale Wanarukaruka |
| Wanashangilia Ushindi Umekuja! |
| Oyaa Mnyama Anakula |
| Aaaaaaaahm! |
| Mnyama Anang’ata |
| Aaaaaaaahm! |
| Mnyama Anakula |
| Aaaaaaaahm! |
| Mnyama Anang’ata |
| Aaaaaaaahm! |
| Anawatafuna |
| Aaaaaaaahm! |
| Anawemeza |
| Aaaaaaaahm! |
| Anawatafuna |
| Aaaaaaaahm! |
| Anawemeza |
| Aaaaaaaahm! |
| Eeeeh Kidedea |
| Eeeeh Kidedea |
| Eeeeh Kidedea |
| Eeeeh Kidedea |
| Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu |
| Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu |
| Me Mwenzenu Mshabiki Wa Damu |
| Naipenda Simba Mshabiki Wa Damu |
| Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba) |
| Nani Baba Wanangu Nani Baba (Simba) |
| Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba) |
| Nani Bingwa Wa Nchi Nani Bingwa (Simba) |
| Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela |
| We Kama Unaipenda Simba Peperusha Bendera |
| Ah Kama Unaipenda Simba Puliza Vuvuzela Basi |
| We Kama Unaipenda Simba Peperusha |
| Asa Twende Peperusha Bendera |
| Wanangu Bendera |
| Niione Bendera |
| Nionyeshe Bendera |
| Nyekundu Bendera |
| Nyeupe Bendera |
| Ya Simba Bendera Umoumo! |
| Oooh Waiteeeeeeeeeeeeee Eh! |
| Enheee! Waambie |
| Hii Ndo Timu Yenye Mashabiki Wengi East Africa |
| Na Yenye Makombe Mengi East Africa And Central |
| Iliyofanya Vizuri Zaidi Kwenye Mashindano Makubwa Afrika |
| Kuliko CLub Yoyote |
| Na Tutamfunga Yoyote |
| Enheeee! |
| Watoto Wa Msimbazi |
| Bado Sijasikia Miluzi |
| Sijasikia Milio |
| Wanangu Miluzi (Mama) |
| Nisikie Milio (Weka) |
| Wa Kule Miluzi (Twende Baba) |
| Wa Huku Milio (Umoumo) |
| Nisikie Miluzi (Wewe) |
| Wanangu Milio |
| Eeeeh Kidedea |
| Eeeeh Kidedea |
| Name | Year |
|---|---|
| Tetema ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Shu! | 2023 |
| Kamata | 2021 |
| Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
| Jeje | 2020 |
| African Beauty ft. Omarion | 2018 |
| Gidi | 2022 |
| Baikoko ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| Penzi ft. Diamond Platnumz | 2019 |
| Yo Pe ft. Diamond Platnumz | 2021 |
| IYO ft. Focalistic | 2021 |
| Gimmie ft. Rema | 2021 |
| Inama ft. Fally Ipupa | 2019 |
| Love You Die ft. Patoranking | 2017 |
| Waah! ft. Koffi Olomide | 2020 |
| Katika ft. Diamond Platnumz | 2018 |
| Haunisumbui | 2022 |
| Baba Lao | 2019 |
| Amaboko ft. Diamond Platnumz | 2020 |
| Kidogo ft. P Square, P-Square | 2018 |