Translation of the song lyrics Ntampata Wapi - Diamond Platnumz

Ntampata Wapi - Diamond Platnumz
Song information On this page you can read the lyrics of the song Ntampata Wapi , by -Diamond Platnumz
In the genre:Африканская музыка
Release date:19.11.2014
Song language:Swahili

Select which language to translate into:

Ntampata Wapi (original)Ntampata Wapi (translation)
Sura yake mtaratibu Its shape systematically
Mwenye macho ya aibu With shy eyes
Kumsahau najaribuu Forgetting him and trying
Ila namkumbuka sanaa But I remember art
Umbo lake mahbibu The shape of the vines
Kwenye maradhi alionitibu In illness he treated me
Siri yangu ukaribuu My secret intimacy
Bado namumbuka sanaa I still remember art
Alionifanya silali, jua kali He made me a silly, hot sun
Nitafute tukale Find me and stay
Lakini hata hakujali darling But he didn't even care darling
Akatekwa na walee He was captured by the natives
Alionifanya silali, jua kali He made me a silly, hot sun
Nitafute tukale Find me and stay
Ila wala hakujali But he did not care
Darling, ah… Darling, ah…
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Niliompendaga saana I really liked it
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Nae anipende sana And he loves me so much
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Niliompendaga saana I really liked it
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Nae anipende sana And he loves me so much
Aii, aii nyotaa ahh Aii, aii star ahh
Nyota ndo tatizo langu Star is my problem
Aii nyota ahh Aii star ahh
Hadi nalia pekee yangu Until I cry alone
Aii nyota ahh Aii star ahh
Nyota ndio shida yangu Stars are my problem
Nyota ahh Star ahh
Wamenizidi wenzangu They have surpassed me
Alidanganywa na wale (walee) He was deceived by those (walee)
Wenye pesa nyumba gaari (gaari) Wealthy house car (car)
Mi kapuku hakunijali (jaali) Mi kapuku did not care (jaali)
Akanimbiaa He ran to me
Alidanganywa na wale (walee) He was deceived by those (walee)
Wa mapesa nyumba gaari (gaari) Money house car (car)
Mi mnyonge hakunijali (jaali) The poor man did not care (jaali)
Akanikimbiaa He ran away from me
Alionifanya silali, jua kali He made me a silly, hot sun
Nitafute tukale Find me and stay
Lakini hata hakujali darling But he didn't even care darling
Akatekwa na walee He was captured by the natives
Alionifanya silali, jua kali He made me a silly, hot sun
Nitafute tukale Find me and stay
Ila wala hakujali But he did not care
Darling, ah… Darling, ah…
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Niliompendaga saana I really liked it
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Nae anipende sana And he loves me so much
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Niliompendaga saana I really liked it
Ntampata wapi kama yule Where can I find him like that
Nae anipende sana And he loves me so much
Bado ananijia ndotoni (baado) He is still coming to me in a dream (yet)
Kila nikiamka simwoni (baado) Whenever I wake up I do not see (yet)
Bado anjia nikilalaa I still come to sleep
Haki ya mungu sio masialaa God's justice is not a matter

Yo touch clever (baado) Yo touch clever (later)
Hii ni sauti ya raisi This is the voice of the president
Iliomshindaga ibilisi It defeated the devil
Kwa mwanadamu sio rahisi For man it is not easy
Kamwambie Tell him
Lazima ujue kutofautisha You must know how to distinguish
Kati ya msalaba na jumlisha Between the cross and the sum
Kuna x ya kuzidisha There is x multiplication x
Ni cheche (cheche…) It's a spark (spark…)
Bado ananijia nkilalaa He still comes to me as I sleep
Haki ya mungu sio masialaaGod's justice is not a matter
Translation rating: 5/5|Votes: 1

Share the translation of the song:

Write what you think about the lyrics!

Other songs by the artist: