| Moyo wangu |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee |
| Lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina |
| Jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi |
| Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina |
| Ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso |
| Tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo |
| Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho |
| Kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh |
| Huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha |
| Wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina |
| Mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama |
| Tamu ya wali ni nazi eeeeee, raha ya supu maandazi eeeeeeee |
| Raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa |
| Na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee |
| Kwa kung’ang’ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa |
| Masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie |
| Ila lakini ni kikwazo |
| Masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka |
| Kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |
| Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee |
| Moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa |