Song information On this page you can find the lyrics of the song Tamba, artist - Mbosso.
Date of issue: 17.03.2020
Song language: Swahili
Tamba |
Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani |
Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey |
Na vijisabuni vya magadi' |
Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake |
Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake |
Eh' |
Kula ya mbuzi ni kamba yake (Oh oo…) |
Ye king’amuzi mi dishi lake |
Hook: |
Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!) |
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!) |
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!) |
Kama afisa wa NIDA |
Ooh.ohho… |
Hook: |
Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!) |
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!) |
Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!) |
Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!) |
Tamba… |
Tamba… |
Nakupa uwanja tamba |
Tamba… |
Tamba… |
Warushe warushike roho zao |
Tamba… |
Tamba… |
Wasokujua wakujue leo |
Tamba… |
Tamba… |
Tamba mama lao… |
Nitalinda benki kwa rungu' niaminie |
Taka langu Mwana mvungu' nainama mie |
Wavunje nazi na nyungu' wajifushie |
Oh my wangu atulinde atulinde Mungu' yasitufikie |
Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa |
Penzi si la unyang’anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza |
Naka T. V kangu kana waka kuzima' Nikupe |
Naka simu kangu japo cha mchina' Nikupe |
Shika na moyo wangu nenda nao mazima' Nikupe |
Tuzaliwe Makkah tufie Madinah' Nikupe |
Hook: |
Fungeni maturubahi (Mkeshe mkisema!) |
Wala hamtupi shida (Mkeshe mkisema!) |
Ndo kwanza tunajidai (Mkeshe mkisema!) |
Kama afisa wa NIDA |
Ooh… ohho… |
Hook: |
Tena' Daktari nimekuja na tiba sindano (Leta nchomeke!) |
Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (Leta nchomeke!) |
Nipo ngagari tayari kwa mapambano (Leta nchomeke!) |
Chai yaanguka Asas leo mambo msuguano (Leta nchomeke!) |
Tamba… |
Tamba… |
Nakupa uwanja tamba |
Tamba… |
Tamba… |
Warushe warushike roho zao |
Tamba… |
Tamba… |
Wasokujua wakujue leo |
Tamba… |
Tamba… |
Tamba mama lao… |
Wasafi… |
Hook: |
Nishalinoa panga' porini kukata mua |
Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua |
Nishalinoa panga' porini kukata mua |
Mwana kaza kitanda' usiku kuneng’emua |
Uu yeah yeah… |
Uu yeah yeah yeah… |
Nishalinoa panga' porini kukata mua |
Nishalinoa panga' porini kukata mua* |
Aiyo aiyo aiyo yo aiyo… |
La la la, la la la, la la la… |
La la la, la la la, la la la… |
Aiyo, Laizer |