![Nishapona - Harmonize](https://cdn.muztext.com/i/32847574796013925347.jpg)
Date of issue: 17.06.2020
Song language: Swahili
Nishapona |
Imani nafsi inaniambia |
Haukuwa fungu langu |
Na sidhani kama nilikosea |
Kuukabidhi moyo wangu |
Ulinidanganya mapenzi ni zuri basi |
Panda twende safari |
Bila kujua la kwako ni mwendo kasi |
Ghafla ukanipa ajali |
Upweke umetawala nafsi |
Mwenzako usiku silali |
Ninahesabu mabati |
Kisa wewe |
Sijutii moyo wangu |
Kupenda nisipopendwa |
Sirudii makosa yangu |
Ujinga wakati wakwenda |
Kinachoniuma roho yangu ooh |
Kuwapa neno wahenga |
Maana si kwa posti zangu |
Na kujinadi napendwa |
Nishapona, nishapona |
Nishapona ila mazoea |
Basi nenda umwambie |
Nishapona! |
Oooh mwambie |
Basi umwambie eeh |
Nishapona ila mazoea |
Heshima kunyenyekea |
Nilivyomnyenyekea |
Akaniona si chochote kwake |
Mazima akanipotezea |
Akanipotezea, alipomaliza shida zake |
zake |
Na bado siamini kweli ndo yule |
Alokuwa akisema, halali asiponiona |
Na kujilisha ya nini? Yote ni bure |
Nikamwita chanda chema, alinidanganya |
Zile miziki za kunichombeza, zinaniuma roho |
Mara akinidekeza, elaji njoo |
Ungesema nilipoteleza, nikamwomba koo |
Si vyema amenitelekeza mb kisadooo |
Basi nenda umwambie, nishapona! |
Oooh mwambie |
Basi umwambie eeh |
Nishapona ila mazoea |
Basi nenda umwambie, Nishapona! |
Oooh mwambie |
Basi umwambie eeh |
Nishapona ila mazoea |
Nenda kamwambie naja |
Nenda kamwambie naja |
Basi nenda kamwambie naja |
Nenda kamwambie naja |
Name | Year |
---|---|
Uno | 2019 |
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz | 2019 |
Teacher | 2021 |
Pain ft. Yemi Alade | 2020 |
Kwa Ngwaru ft. Diamond Platnumz | 2018 |
Mwaka Wangu | 2022 |
Magufuli | 2019 |
Bado ft. Diamond Platnumz | 2016 |
Never Give Up | 2019 |
Yanga | 2020 |
Matatizo | 2016 |
Mdomo ft. Ibraah | 2021 |
Single | 2021 |
Inanimaliza ft. Mr. Blue | 2020 |
What Do You Miss | 2021 |
I Can't Stop | 2021 |
One Question | 2021 |
Sandakalawe | 2021 |
Sorry | 2021 |
Outside | 2021 |