
Date of issue: 02.03.2003
Song language: Swahili
Ni Hayo Tu(original) |
Oyaa, dogo, we mshamba we njoo hapa |
We ndio wanakuita Fid Q, (Ndio) |
Hebu atupe mistari kwanza… |
Korombwea hayo maisha ya kuungaunga, hiyo shughuli mi naiweza |
Hapa utaambulia ushauri ukihitaji msaada wa kifedha |
Mi kujiita rasta, wenye chuki tu wanapinga |
Wanashangaa na kula nyama, hawajui nyota yangu ni ya simba |
Asiye fikiri kabla ya tendo, atatendwa pale akidamka |
Na usinidiss kwa kiswahili kama hujui hata kukitamka |
Kuongea sio kusema na kufumbua macho sio kuamka |
Wasiwasi ukiwanyima raha, mistari itawafanya kuchangamka |
Mnapagawa na baadhi ya mambo ambayo nayajua |
Pia nna uwezo kufanya mpaka madawa yanaugua |
Hii ni I level, sio high level ndio maana hunioni |
Waulize wenzako, Fid Q yupo juu zaidi yako homie |
Nipo juu, je utanibana kama kizibo cha soda? |
Kushuka ngazi tu unahema, je kuzipanda hupati uoga? |
Amini usiamini, Fid Q ndiyo sauti ya mtaani |
Je, mtafurahi nikishuka chini kama mademu wa marubani |
Bora kuogopwa, wakikupenda watakuchukia |
Nilipo na nilipo anzia, sipo napo hitaji nibaki pia |
Si hofii kupitwa ilimradi muda usiniache |
Hii ni kwa wote, popote |
Siogopi kuomba mvua najua mnayahofia matope |
Mwingine anakurupuka ananiiga, anasema sifai |
Naona vibaya kumjibu, sahau kutupa mawe juu ya mayai |
Chipukizi chapeni kazi ili mng’atuke mlipokwama |
Vumilieni kama nyota mtatoka jua likizama |
Ni binadamu sijakamilika, kuandika rhymes sikosei |
Japo miluzi ni mingi lakini jibu huwa sipotei |
Nitaendelea kuwa mshindi wa juu ka majani na record Bongo |
Nakutembea kifua mbele utadhani nimedundwa ngumi ya mgongo |
(Aargh, Fid Q kitu gani bwana…) |
(Afu mi ananikeraga anajifanya anapenda mademu wa kizungu) |
(Achana nae, nyie asikuzingueni Bongo fleva kitu gani…) |
Kila mtu Fid Q hivi, mara Fid Q vile |
Yaani Fid Q, Fid Q, Fid Q tuuu, ni hayo tu |
Kila mtu Fid Q hivi, mara Fid Q vile |
Yaani Fid Q, Fid Q, Fid Q tuuu, ni hayo tu |
Ukinicheka shambani, mi nakucheka sokoni |
Chuma au fua chuma, ni mwendo wa roho mkononi |
Maisha ni mpangilio, ukitulia yanajiseti |
Ni kama A to Z kwenye mfumo wa alfabeti |
Hawara hana takala, ukimtaka unampata |
Bendera ibaki hewani, natimba chaka kwa chaka |
Hatufanani kama alama za vidole |
Na bado naziamini falsafa za mwenda pole |
Unaishi nyumba ya vioo, basi usinitupie mawe |
Heshima yangu sikuipata katika sandakalawe |
Inakuwaje unadiss? |
unampaka wa mawazo |
Unazungumzia ujazo, milazo au micharazo |
Nilichuna wakati wa kwenda, ila sasa narudi |
Nikanyage bahati mbaya nikulipue makusudi |
Ni hayo tu, kama hujitumi piga mihayo tu |
Fid Q na Jizze heshima ndiyo tuitakayo tu |
Kila mtu profesa hivi, mara Profesa vile |
Yaani Jay profesa? |
Jay tuu, ni hayo tu |
Kila mtu profesa hivi, mara Profesa vile |
Yaani Jay profesa? |
Jay tuu, ni hayo tu |
(.jana nilimuona maskani, kaja na kipensi rafiki yangu |
Afu sijui kanywa gongo alafu ile Benzi lao analisukuma halina mafuta.) |
(We mwenyewe unamuonaje kwanza?) |
(.njaa. anapenda tatizo mimamaa.) |
Natumia akili, ustaarabu, na subira |
Situmii mwili, jazba, na hasira |
Mapinduzi daima, msimamo ka Che Guevara |
Usingizi ndugu yake kifo, sipendi kulala |
Nafuata mipango yangu, sifuati mipango ya wengine |
Niko focused, hata ikibidi vingine nijinyime |
Wote tukiwa masikini, nani atamsaidia mwenzake? |
Niacheni ni win, majungu msinipake |
Wanasema nimechange, eti sio mimi wa zamani |
Sionekani maskani kwa darubini wala miwani |
Lawama kibao utadhani mahakamani |
Mi nisipo hangaika atayenilisha nani |
Wananichekea usoni, kisogoni wananisema |
Wanatafuta mabaya, wanjifanya hawaoni mema |
Kisichoniua kitanikomoza ki-askari |
Unavyo nichukia unadhihirisha mi mkali |
Sina haja ya kurudia, Fiddy alishawaambia |
«U-superstar mzigo wa mwiba» ukiubeba unaumia |
(Langa langa, langa kilanga?) |
(Kajinga tu kale) (.Ye mwenyewe mshamba tuu) |
(eti, kabosi kale, .yaani mimi kalanga kale.) |
(Machizi wamemsaidia kishenzi. wamembeba mpaka wamemchoka) |
(.Sio inshu yule aah sio inshu yule.) |
(.uhh, kichwa chenye utadhani madenge.) |
(na na nanilii ngoja nikwambie, unajua eti enzi zile…) |
Kila mtu Langa hivi, mara Langa vile |
Yaani Langa tuu, yaani Langa tuu |
Kila mtu Langa hivi, mara Langa vile |
Yaani ni hayo tu, huh, ni hayo tu |
Na nafuata njia zangu kama Carlito |
Nayajua mateso kama Mel Gibson na Apocalypto |
(translation) |
Oyaa, little one, come here |
We're the ones calling you Fid Q, (Yeah) |
Let's give the lines first… |
Destroy the life of joining you, the activities I can do |
Here you will find advice if you need financial support |
I call myself a rasta, only the haters oppose it |
They wonder and eat meat, they do not know that my star is that of a lion |
He who does not think before he acts, will be acted on when he feels it |
And don't blame me for Kiswahili if you don't even know how to pronounce it |
To speak is not to speak and to open the eyes is not to wake up |
If anxiety robs them of pleasure, lines will cheer them up |
You are crazy about some things that I know |
I also have the ability to do it until the drugs get sick |
This is I level, not high level, that's why you don't see me |
Ask your mates, Fid Q is above you homie |
I'm on top, will you squeeze me like a soda cap? |
Just going down the stairs makes you pant, don't you get nervous going up them? |
Believe it or not, Fid Q is the voice of the street |
Will you be happy if I go down like the demons of the pilots? |
Better to be feared, if they love you they will hate you |
Where I am and where I started, I am not there and there is no need for me to remain |
I'm not afraid of being overtaken as long as time doesn't leave me |
This is for everyone, everywhere |
I am not afraid to ask for rain, I know you are afraid of mud |
Another jumps up and imitates me, saying I'm not good enough |
I find it wrong to answer him, forget to throw stones at eggs |
Spruce up the work so you don't get stuck when you're stuck |
Be patient like the stars you will come out when the sun sets |
I'm an imperfect human, writing rhymes makes no mistakes |
Although there are many whistles, I never miss the answer |
I will continue to be the winner of the top of the straw and record Bongo |
I'm walking chest forward and you'll think I've been punched in the back |
(Aargh, Fid Q what sir…) |
(Afu mi ananikeraga pretends to like white demons) |
(Leave him, you guys, don't let Bongo talk to you about anything...) |
Everyone Fid Q like this, times Fid Q like that |
That is Fid Q, Fid Q, Fid Q tuuu, that's all |
Everyone Fid Q like this, times Fid Q like that |
That is Fid Q, Fid Q, Fid Q tuuu, that's all |
If you laugh at me in the field, I laugh at you in the market |
Iron or iron, it is the movement of the spirit in the hand |
Life is a plan, if you stay calm it sets itself |
It's like A to Z in the alphabet system |
Hawara has no waste, if you want him you will find him |
Let the flag stay in the air, I will take it piece by piece |
We are not alike as fingerprints |
And I still believe in the philosophies of the slow walker |
You live in a glass house, so don't throw stones at me |
I did not find my honor in sandakalawe |
How do you diss? |
borderline of thought |
Are you talking about volume, diagonals or diagonals? |
I plucked when I was going, but now I'm coming back |
I stepped on bad luck and blew you up on purpose |
That's it, if you don't use it, just yawn |
Fid Q and Jizze respect is all we want |
Everyone is a professor like this, sometimes a professor like that |
That is Jay professor? |
Just Jay, that's all |
Everyone is a professor like this, sometimes a professor like that |
That is Jay professor? |
Just Jay, that's all |
(.Yesterday I saw the house, I came with my friend's pen |
Afu, I don't know how to drink gong because the Benzi they are pushing has no oil.) |
(How do you see him first?) |
(Hungry. He likes problems, moms.) |
I use intelligence, civility, and patience |
I don't use the body, passion, and anger |
Revolution always, the position of Che Guevara |
Sleep brother death, I don't like to sleep |
I follow my plans, I don't follow other people's plans |
I am focused, even if I have to deny myself |
When we are all poor, who will help each other? |
Leave it to me, don't touch me |
They say I have changed, that I am not the old me |
I can't see the house with binoculars or glasses |
Blame the tablet you will think in court |
I am not worried about who will feed me |
They laugh in my face, they say in the back of my head |
They look for the bad, pretend they don't see the good |
What doesn't kill me will make me a soldier |
The way you hate me, you show me to be fierce |
I don't need to repeat it, Fiddy told them |
«U-superstar load of thorn» if you carry it you get hurt |
(Langa langa, langa kilanga?) |
(Just a fool in the past) (He himself is just a farmer) |
(let's say, kabosi kale, that is, I kalanga kale.) |
(Machizi has helped him savagely. They have carried him until they are tired of him) |
(.It's not that inshu aah it's not that inshu.) |
(.uhh, a head with you guessed it.) |
(and I'm crying, let me tell you, you know those days...) |
Everyone Langa like this, sometimes Langa that |
That is just Langa, that is just Langa |
Everyone Langa like this, sometimes Langa that |
I mean, that's all, huh, that's all |
And I follow my ways like Carlito |
I know torture like Mel Gibson and Apocalypto |