Lyrics of Iyena - Diamond Platnumz, Rayvanny

Iyena - Diamond Platnumz, Rayvanny
Song information On this page you can find the lyrics of the song Iyena, artist - Diamond Platnumz. Album song A Boy From Tandale, in the genre Поп
Date of issue: 15.02.2018
Record label: WCB
Song language: Swahili

Iyena

(original)
Ah Leo Chereko Chereko
Mwanenu nimekuwa
Zile kuringa mideko itapungua
Ahsante mama ulinifunza nkajua
Baba kasema kuomba mwiko
Raha ya chumvi kununua
Tena si kwa nazi
Si hirizi za waganga
Kwa baraka za baba na mama
Tu na dua
Waambie paparazi
Pingamizi wenye viranga
Waliosema hayawi hayawi yamekuwa
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana
Ooh.
Ndoa baraka
Ukipata ushukuru
Maana wanayoililia ni wengi sana
Kwetu talaka
Kuitoa ni kufuru
Nimefunzwa vumilia
Niushinde ujana
Ili kesho mahususi
Kusudi wasinong’one
Embu nichumu niringe washushuke
Na hii pete ya harusi
Nakuvisha waone
Wakale sumu
Wavimbe wapasuke
Ati nashika nanga
Nteke nsichomoke ndani (Anameremeta)
Futa namba wablock vimada wa zamani (Anameremeta)
Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani (Anameremeta)
Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani (Anameremeta)
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana (Oh, kwaheri baba mama)
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana
Imefika tamati
Tulisubiri kitambo
Leo samaki
Kanasa kwenye chambo
Pongezi kwa kamati
Yanavutia mapambo
Napata picha safi
Litanikoma bundle
Mwanamke usafi
Gaga kulisugua
Mume akirudi sharti
Viatu kumvua
Kitandani marashi
Massage kumchua
Kisha anza sayansi
Viuno kutengua
Mambo ya kuzima taa
Si mahaba ni kuwanga
Washa japo ka mshumaa
Mumeo aone shanga
Makeup kinanda
Kaka suit kama mbunge (Anameremeta)
Mulo changa muda kujipooza na punje (Anameremeta)
Momo ndani Shivo amekuja na Fumbwe (Anameremeta)
Kula chanda ukishiba ruksa kafunge (Anameremeta)
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana (Eh, kwaheri baba mama)
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana
Saa nataka kusasambua (Sasambu)
Me nasasambua (Sasambu)
Aby Dad nasasambua mimi (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Mguu moja juu (Sasambu)
Usishushe chini (Sasambu)
Cheza jitazame (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Aisha kimobitel (Sasambu)
Nipe za baloteli (Sasambu)
Nyonga kibaiskeli (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Akaa kama unashika ukuta (Sasambu)
Ifanye unashusha (Sasambu)
Taratibu zungusha (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Sasambu!
Sasambu!
Sasambu!
Sasambua
Tuone
Kama unawasha bajaji (Sasambu)
Imwagie na maji (Sasambu)
Tuwakomeshe vizazi (Sasambu)
Sasambua
Tuone
(translation)
Ah Leo Chereko Chereko
Your son I have been
The curves will be reduced
Thank you mom for teaching me to know
Father said to ask for a taboo
The pleasure of salt to buy
Again not for coconut
They are not charms of physicians
With the blessings of father and mother
Just a prayer
Tell them paparazzi
Obstacles with stripes
Those who said no are not
He is the One
He is the One
He is the One
Goodbye see you
He is the One
He is the One
He is the One
I will miss you very much
Ooh.
Marriage is a blessing
If you get grateful
For they that weep are very many
For us divorce
Giving it up is blasphemy
I have been taught to persevere
Let me overcome youth
For a specific tomorrow
For the purpose of not whispering
Embu nichumu niringe heat
And this wedding ring
I let them see
Old toxins
Swell and crack
And I hold on tight
Who can I turn to (Who shines)
Delete old blockchain numbers (Radiant)
It's not just the wrinkles in public (He shines)
The landlord's plan to come in (He shines)
He is the One
He is the One
He is the One
Goodbye see you (Oh, goodbye dad mom)
He is the One
He is the One
He is the One
I will miss you very much
It has come to an end
We waited a while
Leo fish
Trace on bait
Congratulations to the committee
Attractive decoration
I get a clean picture
It will stop the bundle
Woman hygiene
Gaga rubbed it
Husband returning conditional
Take off your shoes
Bed ointment
Massage massage
Then start science
Loins loosening
Things to turn off the lights
It is not love that is irritating
Light a candle
Husband see beads
Makeup keyboard
Kaka suit as MP (Anameremeta)
Mulo young time paralyzed by a grain (He shines)
Momo inside Shivo has come with Fumbwe (He shines)
Eat chanda if you are not allowed to fast (Anameremeta)
He is the One
He is the One
He is the One
Goodbye see you (Eh, goodbye dad mom)
He is the One
He is the One
He is the One
I will miss you very much
At the moment I want to disassociate (Sasambu)
Me nasasambua (Sasambu)
Aby Dad and I (Sasambu)
Sasambua
Tuone
One leg up (Sasambu)
Do not lower (Sasambu)
Play watch (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Aisha kimobitel (Sasambu)
Tips for balloons (Sasambu)
Bicycle strength (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Stay as you are holding the wall (Sasambu)
Make it download (Sasambu)
Slow rotation (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Sasambu!
Sasambu!
Sasambu!
Sasambua
Tuone
If you turn on the bajaji (Sasambu)
Pour it with water (Sasambu)
Let's stop the generations (Sasambu)
Sasambua
Tuone
Translation rating: 5/5 | Votes: 1

Share the translation of the song:

Write what you think about the lyrics!

Other songs of the artist:

NameYear
Tetema ft. Diamond Platnumz 2019
Naogopa 2020
Shu! 2023
Party 2021
Kamata 2021
Kainama ft. Burna Boy, Diamond Platnumz 2019
Jeje 2020
Tekenya Remix 2020
Chuchumaa 2019
Number One ft. Zuchu 2020
African Beauty ft. Omarion 2018
Gidi 2022
Come 2021
Rara 2021
Baikoko ft. Diamond Platnumz 2021
Penzi ft. Diamond Platnumz 2019
One Two 2021
Yo Pe ft. Diamond Platnumz 2021
Teamo ft. Messias Maricoa 2020
I Miss You ft. Zuchu 2022

Artist lyrics: Diamond Platnumz
Artist lyrics: Rayvanny