Song information On this page you can find the lyrics of the song Litawachoma, artist - Zuchu.
Date of issue: 12.09.2020
Song language: Swahili
Litawachoma |
Habiby Louzii |
Kipenzi Changu Cha Ngama |
Mi Ma Wewe Hadi Milelee |
Komesha Wachokozii |
Wabaki Kututazama |
Tuwatoe Jasho La Nywele |
Mhh! Nimesikia Khabari |
Eetii Kuna Mtu Twamkera |
Oooh Mbona Akae Tayari |
Maana Bado Muvi Hili Trelaaa |
Na Usiku Nikumbate (Iteh Teh Teh Teh) |
Oooh My Baby Boo (Iteh Teh Teh Teh) |
Kwa Gego Ning’ate Nga’te (Iteh Teh Teh Teh) |
You Know I Love You |
Nikizidi Ugomvi Unichape (Iteh Teh Teh Teh) |
Silaha Runguu (Iteh Teh Teh Teh) |
Kwenye Joto Nipepee (Iteh Teh Teh Teh) |
Mwandani Wanguuu |
Penzi Letu Kwao Fayaa |
Na Litawachoma Sana Mhhh Litawaumaa |
Na Litawachoma Sana Eh Kwa Roho Mbaya Zenu |
Na Litawachoma Sana Ooh Na Hatuachanii |
Na Litawachoma Sanaa |
Mhh! Ada |
Kinachotakasa Nafsi Huba Si Sabunii |
Kwangu Usiwe Na Wasi Nishaacha Uhuni |
Ada Kama Moyo Jiko Basi We Ndo Wangu Kuni |
Mapenzi Soka Nipe Pasi Ntie Nyavuni |
Tena Wasikutishe Kwa Jumbe Zao Za Kata (Kataa) |
Mi Ndo Kamati Kuu Hapa Jimbo Umepata (Pataa) |
Mahaba Ni Tashtiti Na Baby Unayajua |
Siwezi Fanya Ya Shishi Uchebe Kukubutua |
Waambie Na Ibilisi |
Kwetu wanajisumbua |
Huu Mfupa Kashindwa Fisi |
Wao Paka Utawaua |
Dodoo Dodo (Nimeokota Dodo Na Mjani Wake) |
Nimeokota Dodo |
Litaemkera Ni Shauri Zake |
Simba Nimelipata Dodo |
Nimeokota Dodo Na Mjani Wake |
Oh Mi Mwenzenu Dodo |
Litaemkera Ni Shauri Zake |
Na Litawachooma |
Na Litawachoma Sana Mhhh Litawaumaa |
Na Litawachoma Sana Eh Kwa Roho Mbaya Zenu |
Na Litawachoma Sana |
Ooh Na Hatuachanii |
Na Litawachoma Sanaa |
Asa Baby Nichezeshe Ngondo |
Ngondo Ngondoigwa Ngo |
Ah Tulicheze Ngondo |
Ngondo Ngondoigwa Ngo |
Eeeh Timbwili Timbwili Tutimbwilike |
Ngondo Ngondoigwa Ngo (Oooooh) |
Mpaka Kupambazukee |
Ngondo Ngondoigwa Ngo (Ai Ngondo) |