
Date of issue: 23.07.2020
Song language: Swahili
Amen(original) |
Uh hebu tazameni |
Matendo ya Mungu yanavyotisha |
Amefanya mengi makubwa ya kustaajabisha |
Marafiki leo wana upendo kesho umekwisha |
Ila upendo wa Mungu hauwezi kwisha |
Naamini neno lako linaishi forever |
Utendawazi hauwezi kubadili |
Dhambi ikawa haki, Never! |
Umenifikisha sehemu ambazo |
Wala sikuwahi kuzifikiria |
Sifa zako nitazihadithia |
Unaniepusha na maadui |
Unanilinda na mabaya |
Ambayo hata siyatambui |
Mungu uliye hai |
Hata mimba zilizotokea |
Kwenye mazingira ya dhambi |
Watoto umewapa uhai |
Na kama pumzi unanipa bure |
Sasa kivipi tamaa ya pesa initenge na wewe |
Nashukuru kwa kunileta hii sayari |
Milele nitakuamini Mungu wa kweli AMINA |
Amen Baba, Amen |
Upendo wako, huruma yako Amen |
Wema wako utukufu wako, Amen |
Amen Baba, Amen |
Umenipa maarifa, umenipa uhai, umenipa mali |
Hata nacho kipaji siwezi sema sijaridhika |
Umenipa kile ulichonipa, hukunitupa |
Nami sitakijuta Baba, nasema AMEN |
Glory to God, utajiri mkubwa ni furaha |
Mungu anaweza kubariki mpaka ukashangaa |
Niwapo kwenye njaa nikumbushe kwamba |
Ndege hawalimi, hawavuni ila hawakosi chochote |
Nilipotoka usiache nikumbusha |
Nipe hekima nisitamani magari |
Nisiyoweza kuyaendesha |
Niishi kwenye ukweli nidumu |
Maana uwongo hauishi milele |
Na unaua faster kuliko sumu |
Pia asante kwa kunipa bidii |
Napokuomba haujibu haraka |
Unajibu wakati sahihi |
Una hekima inayoshangaza dunia |
Watu hata tungombane vipi |
Tunashare mvua na jua |
Nilijalie nisilewe sifa |
Nikumbuke siku za uhai wangu zinahesabika |
Hivyo nikuabudu nikiwa kijana |
Nawe utaniweka juu kwa baraka leo zaidi ya jana |
Amen Baba, Amen |
Upendo wako, huruma yako Amen |
Wema wako utukufu wako, Amen |
Amen Baba, Amen |
Copyrights: Bongo Records Tanzania |
(translation) |
Uh let's see |
The works of God are awesome |
He has done a lot of amazing things |
Friends today have love tomorrow is over |
But God's love never fails |
I believe your word lives forever |
Globalization cannot change |
Sin became just, Never! |
You have brought me to those places |
Nor did I ever think of them |
I will tell your story |
You keep me from enemies |
You protect me from evil |
Which I do not even realize |
The living God |
Even abortions occurred |
In a sinful environment |
You have given children life |
And if the breath gives me free |
Now how can the desire for money separate me from you |
Thank you for bringing me this planet |
I will always believe in the true God AMEN |
Amen Father, Amen |
Your love, your mercy Amen |
Your goodness and your glory, Amen |
Amen Father, Amen |
You have given me knowledge, you have given me life, you have given me wealth |
Even with the talent I can not say I am not satisfied |
You gave me what you gave me, you did not give it to me |
And I do not regret it, Father, I say AMEN |
Glory to God, great wealth is happiness |
God can bless you until you are amazed |
When I am hungry remind me that |
Birds do not plow, do not harvest, but do not lack anything |
When I left do not stop reminding me |
Give me wisdom not to covet cars |
I can't run them |
Let me live in the truth and endure |
For lies do not last forever |
And it kills faster than poison |
Also thank you for giving me the hard work |
When I ask you, you do not respond immediately |
You respond at the right time |
You have the wisdom that astonishes the world |
People no matter how we fight |
We share rain and sun |
I wish I had not been praised |
Remember the days of my life are numbered |
So I worshiped you as a young man |
And you will set me up with blessings today more than yesterday |
Amen Father, Amen |
Your love, your mercy Amen |
Your goodness and your glory, Amen |
Amen Father, Amen |
Copyrights: Bongo Records Tanzania |