![Nakupenda Wewe - Safari Sound Band](https://cdn.muztext.com/i/32847556916743925347.jpg)
Date of issue: 15.11.2010
Song language: Swahili
Nakupenda Wewe(original) |
Mpenzi mbona wanisumbua |
Kila nifanyavyo sivyo |
Bibi wacha kunibagua |
Nakupenda vivyo ulivyo |
Nakupenda (x3) wewe |
Nakupenda (x3) wewe |
Kichuna ewe kichuna |
Nina masikitiko |
Usiku kucha silali |
Hata nala kwa kijiko |
Nakupenda (x3) wewe |
Nakupenda (x3) wewe |
Nanana nanana nananana… |
(translation) |
Honey, why are you bothering me? |
Everything I do is wrong |
Madam, stop discriminating against me |
I love you just the way you are |
I love (x3) you |
I love (x3) you |
The peeler is the peeler |
I have regrets |
I don't sleep all night |
Even eat it with a spoon |
I love (x3) you |
I love (x3) you |
Nanana nanana nanana… |