Lyrics Nyanyasa - Nandy

Nyanyasa - Nandy
Song information On this page you can read the lyrics of the song Nyanyasa , by -Nandy
In the genre:Африканская музыка
Release date:08.11.2018
Song language:Swahili

Select which language to translate into:

Nyanyasa
Aaaah aaaaah unaninyanyasa aaah
Unaninyanyasaaaah uuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaaah aaah
Uuuh uuuh unaninyanyasaaaah euuuh uuuh unaninyanyasaaaah aaaah
Mwili umekonda nimepunguaaah haieleweki nachougua aaah moyo kidonda
Unakwangua inauma sana aah mbele za watu unaniumbua sina la kusemaaah
Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua
Kuwa unanikosea itakuwa too late japo unaninyanyasaaaah baby
Unaninyanyasaaaah wewe
Unaninyanyasaaaah baby unaninyanyasaaaah bby unaninya…
Unaniangusha chini aniokote nani japo ujui thamani yangu me nani
Ataitambua aaah kwanza kumbuka baby si tumetoka mbali
Iih ukiwa huna siwazi nimekubali tuijenge familia aah
Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana aah na siku ukijua
Kuwa unanikosea itakuwa too late japo unaninyanyasaaaah wewe
Unaninyanyasaaaah wewe unaninyanyasaaaah aaah
Wewe unaninyanyasaaaah aaaah aaah unaninyanyasaaaah

Share the lyrics:

Write what you think about the lyrics!

Other songs by the artist: