Lyrics Natlan - HOYO-MiX

Natlan - HOYO-MiX
Song information On this page you can read the lyrics of the song Natlan , by -HOYO-MiX
Song from the album: Genshin Impact - Land of Tleyaoyotl
In the genre:Саундтреки
Release date:04.10.2024
Song language:Swahili
Record label:MiHoYo

Select which language to translate into:

Natlan
Shambulia beba silaha
Pigana mpaka mwishowe
Kwa nchi yetu tutauvunja damu yoyote
Rudi kwa pambaja ya dunya
Hadithi yaendelea (Kama moto)
Heshima waridhi vizazi (Waka daima)
Ushujaa waangaza Mbingu na Ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
Rudini ndugu, rudini mashujaa
Mara ya tena mwangani
Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana)
Ushujaa wenu ni imara (Bila shaka)
Kumbukeni majina ya mashujaa
Andameni uwanjani
Kwa jamaa, nchi na taifa (Zuri, safi, sawa)
Kwa matumaini, mbeleni, malengo (Vuma, raha, nguvu)
Rudini tunawangojeni
Nyimbo za kelele sana
Sikiliza zitakuongaza nyumbani
Hadithi yaendelea (Kama moto)
Heshima warithi vizazi (Waka daima)
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimba
Rudini ndugu, rudini mashujaa
Mara ya tena mwangani
Maisha marefu ni sasa

Write what you think about the lyrics!

Other songs by the artist: