| yeah |
| stan to the rhymes listen |
| freestyle |
| yoh Stan to the rhymes juu ya hii bit ya crank |
| fullu mzuka ka kichwani nipo bangi |
| nnavoruka kwenye miti kama monkey |
| siko nusunusu niko full tank |
| niko dope bit records pembeni Franco |
| ukija kichwakichwa apa utaliwa ta… |
| wengine wanasema nimezimwa kama taa |
| mwizi akitoka nduki basi mi namkamata |
| demu kama unataka mtoto zaa |
| af nikiwa na pesa hua nakesha bar |
| hua sikosi shabaa muulize shabani |
| nawapiga pini |
| stan to the the rhymes niko mwituni |
| niko booth nnachotema ni lugha ya kiroho safi sio matusi |
| ukinidiss mi utarudi bush |
| na ukinidiss sana nakupemezesha kush |
| sikia |
| yani umaweza ukavutishwa |
| ukija kiboyaboya unativshwa |
| na ukijakifarafara unafichwa |
| kama gero kwenye ocean umbea hauna posho |
| kaza kongoro tusonge mbele |
| stan to the rhymes namega tonge then nacheck tembele |
| iko wapi mi sio waki cheki mawaki wanaongeaongea tu unafki |
| mim nawalenga bila manati |
| nanikiwa mbugani hua nna nguvu kama nyati |
| huu msafara wa mamba kenge mwingime hafati |
| af nna kitambi tumbo langu halipo flat |
| natema mahisabat kama spoksi |
| hichi kichwa ni kichwa cha sposi |
| hata demu mkali simposi |
| na mwana kama mwanangu simtosi |
| (hahahaa haa) |
| i gat my boi stan to the rhymes |
| yeah |
| dope bits |
| yeah |
| (round two) |
| (round two) |
| eyo sikia |
| hii hapa ni round ya pili |
| stan to the rhymez na flow mpka kuchwiri |
| wengine wanasema mida imeenda ni saa mbili |
| aah sa mbili mida haijaenda mida imeenda ni majogoo |
| mi kwangu majogoo ndo mida mibaya |
| na ndo mida ya kurudi maskani huku nikiwa kaya |
| niko on fire ukinidiss utaniona m’baya |
| navofanya izi rhymes niko kama vile choka mbaya |
| lile kundi la prof geezy |
| mwizi akiiba tumkimbize |
| na mnoko akidananda tumuulize |
| akipanua mapaja tumuingize |
| sorry ka nimetukana |
| ila ni rapper ambae fake rappers nawabana |
| alafu wengine wanahanya |
| wanajichanganya |
| haohao ni paka na panya |
| hii bit ni kali |
| sio wewe tu wengi wamekubali |
| na ni bit flani ambayo bit ya kupary inamchanganyiko kama nyanya na kachumbari |
| sorry ni nyanya na kitunguu |
| stan to the rhymes niko juu |
| nnavorandaranda ni kama mchwa ndan ya kichuguu |
| skosi ukoko coz stan rhymes mimi ni jungu kuu |
| babu ananiita kijukuu |
| af bimkubwa ananiita kitukuu |
| nikate kama kitunguu utalia mwenyew |
| sababu wewe uko chini mimi niko juu |
| ahahaaa ah |
| yeah |
| Njombe |
| prepared by Kapoli |